Sunna za Nabii Muhammad (s.a.w)

$ 10

Description

Kitabu hiki ambacho tunakitunukisha kwa wale ambao wana shauku katika utafiti na uchunguzi wa kisomi kina simulizi kuhusu vile vitendo ambavyo Mtukufu Mtume (s.a.w) alivitilia mkazo sana juu yake, vile ambavyo wakati wote alikuwa akivitenda na vile ambavyo vinaelezea maisha yake, tabia na mwenendo wake.

Additional information

Weight 570 kg
Mwandishi:

Allamah Sayyid Muhamad Husayn Tabatabai