Description
Maudhui kubwa katika kitabu hiki ni kuhusu madhehebu za Kiislamu. Suala la madhehebu limekuwa na bado halieleweki vizuri miongoni mwa Waislamu kiasi kwamba wakati mwingine hufikia kupigana na kuuana kutokana na kuzozana juu ya suala hili.