Description
Kwa hakika kati ya vikao vingi vinavyowekewa hupatikana maswali chungu nzima kuhusiana na suala hili, ni vikao vya furaha ambavyo huwekwa kwa matukio mbalimbali ambapo watu hupata burudani kama vile sherehe za ndoa, kuzaliwa watoto, n.k.