Uwazi baina ya Maslahi na Vikwazo

$ 4

Categories: ,

Description

Mwandishi wa kitabu hiki naye ameungana na wanazuoni hao wema na kuchukuwa jukumu hilo la kutukumbusha na kutuelekeza kwenye malengo sahihi ya Uislamu. Kama kuna wakati ambapo Waislamu walihitaji umoja ili kuwashinda maadui zao, basi wakati huu ni muwafaka kabisa. kwani maadui wa Waislamu wameungana ili kuushambulia Uislamu kwa aina zote za silaha ziwezekanazo.

Additional information

Weight 1 kg
Mwandishi:

Sheikh Musa Hasan al Saffar