Description
Katika kitabu hiki tutaona jinsi Imam Hasan (a.s) alivyoishi na jamii iliyomzunguka kwa upole, unyenyekevu na huruma, na jinsi alivyokuwa akiwahudumia wagonjwa na watu wenye shida mbalimbali bila ubaguzi wowote au kujali kama ni maadui au wafuasi wake.