Description
Mwandishi wa kitabu hiki ametumia mfano wa Imam Ali bin Abu Talib (a.s) jinsi alivyoongoza Umma wakati alipokuwa Imam na wakati alipokuwa Khalifa. Na katika kuwasilisha mada yake hii ametumia sana hotuba, na semi za hekima za Imam Ali (a.s) ambazo zimekusanywa katika kitabu maarufu cha siku nyingi kinachoitwa, Nahju ‘l-Balaghah.
