Upotoshaji Dhahiri katika (Turathi) Hazina ya Kiislamu

$ 5

Description

Kitabu hiki kinatoa kwa mara nyingine maelezo na ufafanuzi wa baadhi ya masuala mbalimbali ambayo ni upotoshaji mkubwa unaofanywa katika hazina na mirathi ya Kiislamu. Sisi kama wachapishaji tunakiwasilisha kitabu hiki kama kilivyo kwa wasomaji wetu na kuwashauri wasome yaliyomo humo, wayafanyie kazi na kuyazingatia ili waepukane na upotoshaji huu unaofanywa kwa makusudi ili kukidhi malengo ya wapotoshaji.

Additional information

Weight 120 kg
Mwandishi:

Sheikh Ja'far Subhani