Description
Hakika tawasali uhalisi wake umeelezwa na Qur’ani Tukufu pindi Mwenyezi Mungu alipowaambia waumini: ” Enyi mlioamini! Mcheni Mwenyezi Mungu na tafuteni njia ya kumfikia (wabtaghuu ilayhi ‘l-wasiilah). Na piganeni kwa ajili ya dini Yake ili mpate kufaulu.” (5:35)