Mikesha Ya Peshawar

$ 20

Description

Mikesha ya Peshawar ni nakala ya mjadala kati ya wanavyuoni mbalimbali wa Kisunnina mwanachuoni mmoja wa Kishiamzaliwa wa Shiraz(Iran) aitwaye Sayyid Abdu‘l-Fani Muhammad al-Musawi Sultanu ‘l-Wa’idhiin,ambaye wakati huo alikuwa na umri wa miaka 31 tu. Mjadala huu ulifanyika katika mji wa Peshawar ambao wakati huo ilikuwa ni sehemu ya Bara Hindi na hivi sasa ni sehemu ya Pakistan.Ulifanyika kuanzia tarehe 27.

Additional information

Weight 920 kg
Mwandishi:

Sultanul Waidhiin Shirazi