Description
Katika kitabu hiki, wanavyuoni hawa wameonesha ni jinsi gani mazingira yanavyoshughulikiwa kwa mtazamo wa Kiislamu. Mazingira kwa mtazo wa Kiislamu ni pamoja na maadili mema, kuweka utawala wenye kuheshimu haki za binadamu, na kupiga vita ufisadi na maovu mengine katika ardhi.