Description
Mwanadamu katika maisha anakabiliwa na matarjia na mabadiliko, kama ambavyo Mwenyezi Mungu Mtukufu anammiminia neema na kheri Zake. Hakika Mwenyezi Mungu Mtukufu anaweza pia kumpa mtihani na balaa kw akumjaribu kwa matatizo na mishkili ya aina mbalimbali.