Maeneo Ya Umma Na Mali Zake

$ 3

Categories: ,

Description

Kama tunavyosema wakati wote kwamba Uislamu ni dini na mfumo kamili wa maisha; haukuacha lolote linalomhusu mwanadamu kimwili au kiroho, bali umeweka sheria ya kuyaendesha maisha hayo (kiroho na kimwili).

Katika kitabu hiki, Sheikh anazungumzia kwa mtazamo wa Kiislamu kuhusu mahali pa Umma, kama vile miskiti, mabustani, barabara na maeneo mengine kama hayo.

Additional information

Weight 80 kg