Description
Kitabu hiki kilichoandikwa na mwanachuoni mkubwa na mhakiki, Marehemu Sayyid Murtadha al-Askariy, kimekuwa ni miongoni mwa vitabu bora vilivyofanya utafiti wa kina kuhusu tofauti baina ya Waislamu katika itikadi na historia na kuzifafanua.