Khayru ‘l-Bariyyah

$ 3

Description

Jina la kitabu hiki linatokana na hadithi ya Mtukufu Mtume (s.a.w) kama ilivyosimuliwa na Ibn ‘Asakir kutoka kwa Jabir bin Abdallah kwamba alisema: “Tulikuwa pamoja na Mtume (s.a.w) wakati Ali (a.s) alipokuja (hapo tulipokuwa tumekaa). Mtume akasema: “Naapa kwa yule ambaye nafsi yangu ipo mikononi mwake; hakika huyu (Ali) na Shia (wafuasi) wake ndio wenye kufuzu Siku ya Ufufuo.” Kisha aya ifuatayo ikashushwa: “Hakika wale walioamini na kutenda mema, basi hao ndio wema wa viumbe!”

Additional information

Weight 80 kg
Mwandishi:

Jopo la wanavyuoni wa Taasisi ya World Ahlul Bayt Islamic Leaque (WABIL)