Description
Jihad maana yake ni vita vitakatifu. Katika istilahi ya Kiislamu, Jihadi ni vita ambavyo hupiganwa kwa ajili ya kuietetea na kuilinda dini ya Mwenyezi Mungu. Jihadi ina taratibu na sheria zake, haipigwani kiholela, kwni kwanza lazima ipatikane ruhusa kutoka kwa Mtume (s.a.w) au Imam wa zama au naibu wake.