Description
Kwa ufupi Idi hii chanzo chake ilikuwa ni tukio kubwa sana la kihistoria katika Uislamu lililotokea shehemu ijulikanayo kama Ghadir khum wakati Mtukufu Mtume alipokuwa anarejea kutoka Makka kutekeleza Hija yake mashuhuri iitwayo, Hija ya Kuaga (Hijjatul Widaa).