Description
Katika kijitabu hiki, Sheikh Ja’far Subhani amekusanya takriban khutba sita ambazo Mtukufu Mtume alizitoa kwa mahujaji, ikiwemo hadithi maarufu aliyotoa akiwa paitwapo Ghadir Khumm wakati akirudi kuelekea Madina baada ya kumalizika kwa msimu wa ibada ya Hija.