Dua kwa Mujibu wa Ahlulbayt (a.s)

$ 10

Out of stock

Categories: ,

Description

Kitabu hiki ni mwongozo wa jinsi gani mtu anatakiwa kuwa wakati wa kuomba lolote kutoka kwa Allah (s.w.t). Mwandishi wa kitabu hiki amelezea kwa ufasaha sana falsafa na hekima ya kuomba Dua za kila aina ili mtu apate kufanikiwa lile analoliomba.

Additional information

Weight 565 kg
Mwandishi:

Mohamed Mahdi al Asifi