Description
Kwa mujibu wa sheria za Kiislamu, pale umri wa mischana unapofikia miaka tisa, anahesabiwa kuwa amefikia utu uzima (amebaleghe), kwa umbile anakuwa ama ni dhaifu au mwenye nguvu – anakuwa ni mrefu au mfupi wa kimo – na anakuwa miongoni mwa wasichana wanaochezo au mtu mwenye wajibu ndani ya nyumba.