Yajue Madhehebu ya Shia

$ 5

Out of stock

Description

Kitabu hiki ni matokeo ya uchunguzi wa muda mrefu kuhusu masuala muhimu ya Kiislamu kwa ujumla. Vile vile mwandishi katika kitabu hiki amelishughulikia kwa makini sana suala la umoja na mshikamano wa Waislamu, na kuonesha kwa kutumia elimu, mantiki na hoja kwamba, umoja ni dharurua kubwa sana, na pia ni jambo linalowezekana kabisa pamoja na kuwepo kwa tofauti hizi na kimadhehebu, ambapo nyingi kama si zote hazihusiani na msingi mikuu ya Kiislamu kama wanavyoijua Waislamu wenyewe.

Additional information

Weight 95 kg
Mwandishi:

Dkt. Mohamed Ali Shomali