Description
Katika Qur’ani, kuna sura iitwayo al-Qasas (Masimulizi), ambayo yenyewe tu ni ushahidi kuwa mwanadamu anahitaji hadithi na masimulizi.
Kitabu hiki ambacho kiko katika sehemu tano, kimekusanya takriban visa vya kweli 500 juu ya maadili mema katika masuala ya uaminifu, imani, misiba, uchamungu, toba, ujinga,maombi, subira na mengine mengi.