Description
Dini katika asili ni hali ya kuitakidi katika moyo wa mwanadamu, ambapo anakiri na kumwitakidi Mola wake na anaamini Ujumbe Wake na kurejea Kwake SIku ya Kiyama; na kutokana na itikadi hii inachipua hali ya kujilazimisha na kumtii Mwenyezi Mungu na kumwabudu.