Description
Uislamu ni dini na ni mfumo kamili wa maisha. Kwa maana hiyo Uislamu mbali na kuwaendeleza waumini wake kiroho, huangalia pia na maendeleo ya waumini wake kimaisha katika nyanja mbalimbali ikiwa ni pamoja na ustawi na jamii kwa ujumla.

Weight | 115 kg |
---|---|
Mwandishi: | Sheikh Hasan Musa al Saffar |