Upotofu Ndani ya Kitabu cha Mitaala

$ 7

Categories: ,

Description

Ingawa mwandishi amekikosoa zaidi kitabu hiki cha nne, lakini ukweli ni kwamba vitabu vyote vilivyoandikwa na taasisi hii inayojita Islamic Education Panel, kwa ajili ya mitaala ya kufundishia wanafunzi wa shule za Sekondari vina makosa ya kimakusudi kabisa.

Additional information

Weight 200 kg
Mwandishi:

Sayyid Muhammad Alawy Bahsan