Uislamu Safi

$ 5

Description

Imam Khomeini (Mola amrehemu) ni mmoja kati ya wanafalsafa, maarifu, wanazuoni na mafakihi wakubwa katika masuala ya dini. Hii ndiyo sababu iliyomfanya awe mlinzi mkuu wa dini na kuiwezesha ionekane hai, yenye thamani. Alihakikisha kwamba anapambana na kila hali, vikwazo, na matatizo mbalimbali ili kuitetea dini ya Allah Mwingi wa baraka.

Additional information

Weight 195 kg
Mwandishi:

Ayatollah Imam Sayyid Ruhullah Khomeini