Description
Uislamu ni dini na ni mfumo wa maisha, hivyo haukucha kitu chochote katika maisha ya mwanadamu halikadhalika na maisha yake ya kiroho. Uchumi ni kitu muhimu sana katika maisha ya mwanadamu, kutokana na umuhimu huo Uislamu umeweka misingi na kanuni madhubuti kwa ajili ya haja hii muhimu.