Description
Iwapo mtu kwa hakika atamwomba Allah swt amjaalie khofu ya kweli moyoni mwake, basi Allah swt atamfanyia hivyo na kumsamehe madhambi yake, na itakaa inaongezeka ngazi katika khofu yake kama vile ngazi ya utiifu na ibada inavyoongezeka vile mtu afanyavyo jitihada zaidi na zaidi.