Udhuu kwa Mtazamo wa Qur’ani na Sunna

$ 5

Out of stock

SKU: Sheikh Ja'afar Subhani Categories: ,

Description

Imekuwa ni kawaida ya watu kukubali kila jambo linalofanywa na watu katika jamii wanayoishi bila ya hoja yoyote; jambo hilo liwe zuri au baya. Na hii hutokana na kukaririka kwa jambo kwa muda mrefu mpaka linakuwa ni mazoea ya watu.

Additional information

Weight 115 kg