Description
Kitabu hiki ni majibu ya kitabu cha Wahhabi kiitwacho, al-Khututul Aridwa, kilichoandikwa kwa Kiarabu na Sheikh Muhibbudin al-Khatib wa Misr na kutarjumiwa kwa Kiswahili kwa jina ka, Misingi Kimubwa lliyojengwa Dini na Ushia; na kuchapishwa na taasisi ya Kianswari ya Mombasa, Kenya katika mwaka wa 1988.