Description
Kitabu hiki ni majibu ya kitabu cha Wahhabi, al-Khututul Aridhwa (kwa lugha ya Kiarabu) cha Muhibbudin al-Khatib (mwaka wa 1930) na kufanyiwa tarjuma ya Kiswahili kwa jina la “Misingi Mikubwa lliyojengwa Dini ya Ushia” na taasisi ya Kianswari (Wahhabi) ya Mombasa Kenya katika mwaka wa 1988.