Misingi ya Maarifa

$ 10

Categories: ,

Description

Kitabu hiki kinahusu ‘Masomo katika misingi ya itikadi za Kiislamu.’ Mwandishi aliyakusanya masomo haya ambayo alikuwa akiyafundisha katika taasisi ya taaluma ya mji mtakatifu wa Qum. llimchukuwa takriban miaka kumi kuweza kufanikisha kazi hii. Kwa hakika kitabu hiki ni cha kwanza cha aina yake kwa lugha ya Kiswahili, kitabu ambacho kitafaa sana katika vyuo vyetu vya dini, na halikadhalika kwa wasomaji wetu wa kawaida.

Additional information

Weight 680 kg
Mwandishi:

Sheikh Muhamad Rayshahri