Description
Kitabu hiki kama kile cha “Ukweli wa Ushi’a” ni utafiti na mjadala juu ya hitilafu baina ya Shi’a na Sunni. Mwandishi ametumia njia nyepesi sana ya kumuwezesha kila msomaji wa kiwango chochote kuweza kuelewa mada zote alizozijadili katika kitabu hiki.