Mazingatio Katika Swala

$ 5

Categories: ,

Description

Swala ni nguzo muhimu sana ya dini. Imepokewa hdithi ikisema kwamba Siku ya Hesabu kitu cha kwanza kuangaliwa ni swala; kama swala ikionekana kuwa safi basi huchukuliwa kwamba matendo yote ni safi, hivyo, mtu huyo hupitishwa moja kwa moja katika Sirati na kupelekwa Peponi.

Additional information

Weight 85 kg
Mwandishi:

Jameel Kermali