Description
Katika moyo huu, kijitabu hiki kimeandikwa. Juhudi zimefanywa kuwasilisha kwa mukhtasari na kwa usahihi picha ya Mariamu na Isa (Yesu) katika Qur’ani na kueleza kwanini ni muhimu kwa Waislamu na Wakristo kushiriki katika mazungumzo ya kweli na yenye manufaa.