Kuvunja hoja iliyotumika kutetea Uimamu wa AbuBakr

$ 5

Description

Kitabu hiki ni matokeo ya mhadhara uliofanywa na Sayyid Ali al-Husaini al-Milani, ambaye ameandika vitabu vingi kwa njia ya midhalao. Kitabu hiki ni mdahalo wa kistaarabu na wa kielimu ambao ulifuata taratibu zote za midahalo ya kielimu bila ya kuumiza hisia za watu wengine.

Additional information

Weight 100 kg
Mwandishi

Sayyid Ali al Husaini al Milaani