Description
Kitu cha kuvutia ni kwmaba imani hii haiko kwa Waislamu tu bali hata katika din nyingine wana imani kama hii kwamba atatokea mtu wakati wa mwisho ambaye ataondoa dhulma na ufisadi na kuujaza ulimwengu huu uadilifu, amani na utulivu.

Weight | 200 kg |
---|---|
Mwandishi: | Sayyid Abdul Rahim al Musawi |