Description
Mwandishi wa kitabu hiki anatumia kalamu yake kuelezea harakati za Imam Husain (a.s) zilivyoinusuru dini ya Allah na kuwakomboa wanyonge na wanaokandamizwa ulimwenguni pote. Azma yake ni kuendeleza harakati hizo katika ulimwengu huu wa sasa ambao akina Yazid bado wapo na wanaendelea kujitokeza kila wakati.