Description
Kitabu hiki huelezea kwa ujumla falsafa na hekima ya dini na jinsi ya kuifuata dini pamoja na changamoto zake. Mwandishi ameandika kitabu hiki kwa kuwalenga Waislamu wa Pakistan na India ili kuwaasa kwa ajili ya masaibu wanayoyapata mikononi mwa mabeberu. Lakini hali hi ipo pia katika nchi nyingine za Kiislamu, kama vile Iraq, Afghanistan, Palestina, na inanyemelea nchi nyingine za Kiislamu na kwa Wasilamu popote wanapoishi ulimwenguni.