Description
Kitabu hiki kinamkaribisha msomaji kujiunga katika safari ya upeo wa ndani katika kutafuta na kugundua hazina iliyopotea yenye vito vya thamani mno vya uumbaji wote. Ramani ambayo huonesha njia hupatikana katika ujumbe wa mwisho wa Allah kwa wanadamu wote, njia ambayo vile vile imeoneshwa kwa kutumia dira ya ndani katika kila moyo.