Amali za Makka

$ 5

Categories: ,

Description

Hija ni fursa ya Ummah wa Kiislamu kufikia hali ya Kiibrahim katika sekta ya kisiasa, kijamii, kitamaduni na kiroho. Mwenyezi Mungu amesema: “Hakika Nyumba ya kwanza waliyowekewa watu ni ile iliyoko Makka yenye kubarikiwa na mwongozo kwa walimwengu.” (Sura Aali Imran: 96).

Additional information

Weight 380 kg
Mwandishi:

Sayyid Jawad Shahrudi