Utawala na Uendeshaji katika Sera ya Imam Ali (as)

$ 5

Categories: ,

Description

Mwandishi wa kitabu hiki ametumia mfano wa Imam Ali bin Abu Talib (a.s) jinsi alivyoongoza Umma wakati alipokuwa Imam na wakati alipokuwa Khalifa. Na katika kuwasilisha mada yake hii ametumia sana hotuba, na semi za hekima za Imam Ali (a.s) ambazo zimekusanywa katika kitabu maarufu cha siku nyingi kinachoitwa, Nahju ‘l-Balaghah.

Additional information

Weight 190 kg
Mwandishi:

Ali Swalah